STREAM/DOWNLOAD DTGC:USZM
LYRICS
Rose, Fetty, Nancy, Wande
Niko na appointment nyingi zote in one day
Tunameet sehem tofauti wote in one day
Sijui ka ntamaliza kazi zote in one day
Xes, job, ganzi, monde
24 hours vichwa viko nduki, konde
Make more on Saturday ninarest one day
Make more money on Friday ninarest Monday
Cheque Cheque
Stake stake
Mkeka mkeka
Bet bet
Aviator
Jet jet
Take it take it
Take take
Yeaah
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Achana na dow
Nipo okay (uh huh)
Nipo moshi (uh huh)
Nipo high (uh huh)
Nipo race (uh huh)
Ukinikata stimu (uh huh)
Utanunua keshi (uh huh)
Nataka bebe mtafutaji sitaki mikosi (uh huh)
Hayo maufundi peleka VETA nataka cash (uh huh)
Muda hautoshi (uh huh)
Acha gozi gozi (uh huh)
Usinitafute (uh huh)
Nipo busy (uh huh)
Ka mshale wa saa (uh huh)
Nipo busy (uh huh)
Yeaah
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Rose, Fetty, Nancy, Wande
Niko na appointment nyingi zote in one day
Tunameet sehem tofauti wote in one day
Sijui ka ntamaliza kazi zote in one day
Xes, job, ganzi, monde
24 hours vichwa viko nduki, konde
Make more on Saturday ninarest one day
Make more money on Friday ninarest Monday
Achana na dow
Nipo okay (uh huh)
Nipo moshi (uh huh)
Nipo high (uh huh)
Nipo race (uh huh)
Ukinikata stimu (uh huh)
Utanunua keshi (uh huh)
Nataka bebe mtafutaji sitaki mikosi (uh huh)
Hayo maufundi peleka VETA nataka cash (uh huh)
Muda hautoshi (uh huh)
Acha gozi gozi (uh huh)
Usinitafute (uh huh)
Nipo busy (uh huh)
Ka mshale wa saa (uh huh)
Nipo busy (uh huh)
Yeaah
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Kazi na dawa
Audio produced by:
Mixing and Mastering by:
Join Our Family:
@rapcha_tz
#rapcha #mapanchbmb #aviator