POPNABLE kenia kenia

  • Startseite
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • Registrieren
  • Anmeldung
  • Entdecken
    • Entdecken
    • Lieder
    • Musik Künstler
  • Musik Charts
    • Musik Charts
    • Heiße 100 Songs - Täglich
    • Top 100 Songs - Täglich
    • Die 40 Besten Lieder
  • Startseite
  • kenia
  • Lieder
  • Niangalie
  • Texte Und Übersetzungen

Texte Und Übersetzungen - Niangalie

— gesungen von Wanavokali , Kethan

"Niangalie" Text und Übersetzungen. Entdecken Sie, wer dieses Lied geschrieben hat. Finden Sie heraus, wer der Produzent und Regisseur dieses Musikvideos ist. „Niangalie“ Komponist, Songtext, Arrangement, Streaming-Plattformen und so weiter. "Niangalie" ist ein Lied, das auf suaheli aufgeführt wird. "Niangalie" wird von gesungen Wanavokali , Kethan
  • Startseite
  • Texte und Übersetzungen
  • Musik charts
  • Statistiken
  • Verdienste
  • Kauf das Lied
Niangalie Musik-Video
Download New Songs

Listen & stream

×

Auf Youtube anschauen

×
Video
Niangalie
Land


 Kenia Kenia
Hinzugefügt
01/01/1970
Prüfbericht
[Nicht musikbezogen ] [Verwandten Künstler hinzufügen] [Verknüpften Künstler entfernen] [Liedtext hinzufügen] [Textübersetzung hinzufügen]

"Niangalie" Text

"Niangalie" hat Texte in suaheli Sprache.
Die Bedeutung von „Niangalie“ stammt aus der Sprache suaheli und wird derzeit nicht in die englische Übersetzung umgewandelt.

Written and performed by: Kethan and Wanavokali
Arranged and composed by Bloodworth Mahiva, Kethan and Wanavokali
Produced by: Kethan
Keys and Organs by: Bloodworth Mahiva
Live Drums by: Mighty Joe
Bass by Tom Olang’o
Acoustic Guitars by Tom Olang'o

Visualiser by PRNTDVSN
LYRICS

Kuna wenye vitabu
Kuna wenye hesabu
Wengine tulibarikiwa sauti na kalamu

Ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
Kwa yale machache najivunia
Moja ni kukuita wangu

Wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
Ila wewe umenionyesha ninaweza kupendwa
Na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
Ona vile tunaishi hii life bila pressure

Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie

Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie

Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie

We wathamani kuliko shaba
Ningetamani nikuite lover
Hakuna jambo linanloweza kunitenganisha na penzi lako

Unachotaka umekipata
Utapokwenda nitakufwata
I will always be yours
You will always be mine
Till the end of time

Na-aah
Nakupenda
Na-aah
Nakupenda

Kama unataka penzi isoloisha
Niangalie
Me ninapo kuona
Naona maisha
Niangalie, Niangalie

Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie

Nia Nia
Nia Nia
Niangalie, niangalie

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)